MAJALIWA: NIMERIDHISHWA NA HATUA YA UJENZI WA RELI YA SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa, Mkoani Morogoro na kusema kwamba ameridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kukamilisha ujenzi wa miradi yote iliyoanzishwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali yao, na tunawahakikishia mradi